{"id":3684,"date":"2023-02-09T15:55:19","date_gmt":"2023-02-09T15:55:19","guid":{"rendered":"https:\/\/countysplash.co.ke\/?p=3684"},"modified":"2023-02-09T15:55:19","modified_gmt":"2023-02-09T15:55:19","slug":"magoha-alitangazia-wenzake-tutaoana-baada-ya-kunijua-kwa-siku-tatu-pekee-asema-mjane","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684","title":{"rendered":"Magoha alitangazia wenzake tutaoana baada ya kunijua kwa siku tatu pekee, asema Mjane"},"content":{"rendered":"<p><strong>Na Iptisam Abdallah<\/strong><\/p>\n<p>Ibaada ya wafu ya aliyekuwa Waziri wa Elimu George Magoha imefanyika leo huku familia , marafiki na maafisa wa ngazi za juu serikalini wakihudhuria hafla hiyo.<\/p>\n<p>Ibaada ya wafu ya mwenda zake ilifanyiwa\u00a0 Kanisa Katoliki \u00a0la \u00a0Consolata jijini Nairobi.<\/p>\n<p>Magoha aliifariki dunia mnamo Januari 24, mwaka huu nyumbani kwake Nairobi\u00a0 akiwaacha nyuma mjane Barbara Odudu na mwanawe wa pekee Michael Magoha.<\/p>\n<p>Akisherehekea maisha ya mumewe , Dkt. Barbara asema kuwa hayati alikuwa mtu mwenye maono na ari ya mafanikio.<\/p>\n<figure id=\"attachment_3630\" aria-describedby=\"caption-attachment-3630\" style=\"width: 1280px\" class=\"wp-caption alignnone\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" class=\"wp-image-3630 size-full\" src=\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago.jpg\" alt=\"\" width=\"1280\" height=\"640\" srcset=\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago.jpg 1280w, https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago-300x150.jpg 300w, https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago-1024x512.jpg 1024w, https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago-768x384.jpg 768w, https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago-696x348.jpg 696w, https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago-1068x534.jpg 1068w\" sizes=\"auto, (max-width: 1280px) 100vw, 1280px\" \/><figcaption id=\"caption-attachment-3630\" class=\"wp-caption-text\"><strong>George Magoha<\/strong><\/figcaption><\/figure>\n<p>\u2018\u2019Maisha ya Prof. George Magoha yalijengeka katika nguzo tatu muhimu akiwemo Mungu aliyemwabudu, Shule ya upili ya Starehe iliyomfinyanga na kuwa mtu mwadilifu na Taaluma ya utabibu iliyoyazunguka maisha yake yote,\u201d Barbara aliwaambia waombolezaji<\/p>\n<p>Akiizungumzia safari yake ya ndoa na hayati mumewe, Dkt. Barbara alisema kuwa ilikuwa ya kuthaminika. \u201c Nilikutana na Prof. George Magoha mjini Lagos nchini Nigeria mwaka wa 1972 alpokuja kusomea udaktari kupitia ufadhili aliopewa. Baada ya miezi miwili, alianza kuwaambia watu kuwa anataka kunioa,\u201d<\/p>\n<p>Akasema : \u201c Nilimweleza mamangu kuwa nilitaka kuolewa naye na akanisihi ningoje afunge na kuomba kwa siku tatu mtawalia ili Mungu amwonyeshe ikiwa mwanamume huyo alinifaa. Baada ya siku tatu, mama alionyeshwa ndotoni kuwa Prof. Magoha angekuwa na mafanikio mengi maishani na kudura ilitaka tuungane,\u201d<\/p>\n<p>Barbara alisema kwamba mamake mzazi\u00a0 alimruhusu kuolewa na Magoha iwapo tu iwapo angekuwa na subira amalize masomo yake ya udakitari.\u201cMume wangu alitimiza masharti haya na tukaoana. Alimhudumia mamangu mpaka mwisho wa maisha yake mnamo 2008,\u201d<\/p>\n<p>Alisema kwamba siku ya kifo chake, alikuwa anapiga pasi ili aelekee kazini .<\/p>\n<p>\u201cAliniambia hakujisikia vizuri nikamshauri ajipumzishe. Ghafla , alipatwa na mshtuko wa moyo uliojirudia mara tatu. Niliyakumbuka maneno yake aliposema kuvile wa lolote litakapompata nimwite Prof.Omwanda. Nilimpigia simu, akafika na kumpima presha. Vilevile nilimpigia mwanangu Dkt. Michael Magoha simu aje haraka,\u201d Barbara alisema<\/p>\n<p>\u201c Mume wangu alizungumza na mwanawe kabla ya kuoatwa na mshtuko wan nne na kisha kuiaga dunia.\u2019\u2019 Aliongeza Dkt. Barbara Odudu huku akiyazuia machozi yasimtiririke.<\/p>\n<figure id=\"attachment_3629\" aria-describedby=\"caption-attachment-3629\" style=\"width: 959px\" class=\"wp-caption alignnone\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" class=\"wp-image-3629 size-full\" src=\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago-1.jpg\" alt=\"\" width=\"959\" height=\"960\" srcset=\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago-1.jpg 959w, https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago-1-300x300.jpg 300w, https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago-1-150x150.jpg 150w, https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago-1-768x769.jpg 768w, https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/01\/mago-1-696x697.jpg 696w\" sizes=\"auto, (max-width: 959px) 100vw, 959px\" \/><figcaption id=\"caption-attachment-3629\" class=\"wp-caption-text\">Prof George Magoha<\/figcaption><\/figure>\n<p>Prof Magoha alizaliwa mnamo Julai 2, 1952 mjini Kisumu, alikuwa msomi mashuhuri, daktari wa upasuaji, Mwenyekiti wa Baraza la Mitihani nchini (Knec) na baadaye Waziri wa Elimu.<\/p>\n<p>Alikuwa mtu mwenye tambo kakamavu na aliyechukia ufisadi. Elimu yake ilianzia katika Shule ya Msingi ya\u00a0 Dr. David Livingstone Nairobi na baada ya kuhitimu akajiunga na Shule ya Upili ya Starehe Boys Centre and School.<\/p>\n<p>Magoha alifuzu na diploma ya masomo ya A levels katika chuo cha Strathmore School na kupata ufadhili wa kusomea udaktari katika Chuo Kikuu cha Lagos nchini Nigeria.<\/p>\n<p>Elimu yake ya udaktari ilimfikisha Lagos University Teaching Hospital na\u00a0 the University College\u00a0 Hospital nchini Nigeria.<\/p>\n<p>Vilevile, alifanikiwa kwenda the Royal College of Surgeons Ireland, Royal Postgraduate Medical School na \u00a0Hammersmith Hospital London. Katika hospitali hizo aliukuza ujuzi wake katika utabibu.<\/p>\n<p>Katika Nyanja ya kazi, Prof. George Magoha alikuwa mhadhiri katika kitengo cha elimu ya upasuaji katika Lagos University Teaching Hospital.<\/p>\n<p>Mnamo 1988, alijiunga na Chuo Kikuu cha Nairobi na kuhudumu kama mhadhiri katika kitengo cha upasuaji wa urolojia na kuoanda daraja na kuwa profesa kamili wa upasuaji mnamo 2000.<\/p>\n<p>Aidha, alihudumu katika nyadhifa mbalimbali Katika chuo kikuu cha Nairobi akipanda kutoka mwenyekiti wa idara hadi kuwa makamo Chansela mnamo Januari 2005.<\/p>\n<p>Mazishi ya hayati Prof. George Magoha yameratibiwa kufanyika Februari 11 nyumbani kwake Umiru ndani ya\u00a0 Nyamninia huko Yala .<\/p>\n<p>Katika taarifa zilizotolewa kwa vyombo vya habari, Julius Jwan, Msemaji wa Kamati ya Familia na Mipango ya Mazishi alisema kuwa misa ya mazishi itafanyika Februari 11\u00a0 ndani ya Chuo Kikuu cha\u00a0 Odera Akang\u2019o University Campus Yala.<\/p>\n<p>Mwisho<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Na Iptisam Abdallah Ibaada ya wafu ya aliyekuwa Waziri wa Elimu George Magoha imefanyika leo huku familia , marafiki na maafisa wa ngazi za juu serikalini wakihudhuria hafla hiyo. Ibaada ya wafu ya mwenda zake ilifanyiwa\u00a0 Kanisa Katoliki \u00a0la \u00a0Consolata jijini Nairobi. Magoha aliifariki dunia mnamo Januari 24, mwaka huu nyumbani kwake Nairobi\u00a0 akiwaacha nyuma [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":3685,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3684","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","category-kenya-news"],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v24.9 - https:\/\/yoast.com\/wordpress\/plugins\/seo\/ -->\n<title>Magoha alitangazia wenzake tutaoana baada ya kunijua kwa siku tatu pekee, asema Mjane - Horizon News<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Magoha alitangazia wenzake tutaoana baada ya kunijua kwa siku tatu pekee, asema Mjane - Horizon News\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Na Iptisam Abdallah Ibaada ya wafu ya aliyekuwa Waziri wa Elimu George Magoha imefanyika leo huku familia , marafiki na maafisa wa ngazi za juu serikalini wakihudhuria hafla hiyo. Ibaada ya wafu ya mwenda zake ilifanyiwa\u00a0 Kanisa Katoliki \u00a0la \u00a0Consolata jijini Nairobi. Magoha aliifariki dunia mnamo Januari 24, mwaka huu nyumbani kwake Nairobi\u00a0 akiwaacha nyuma [&hellip;]\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Horizon News\" \/>\n<meta property=\"article:publisher\" content=\"https:\/\/www.facebook.com\/horizonnewsglobal\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2023-02-09T15:55:19+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Magoha-wife.jpg\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"470\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"235\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/jpeg\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"Horizon News\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"Horizon News\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"3 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\/\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684\"},\"author\":{\"name\":\"Horizon News\",\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#\/schema\/person\/0aaeb0e26ff89059b5ef81bcf454e3c4\"},\"headline\":\"Magoha alitangazia wenzake tutaoana baada ya kunijua kwa siku tatu pekee, asema Mjane\",\"datePublished\":\"2023-02-09T15:55:19+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684\"},\"wordCount\":595,\"commentCount\":0,\"publisher\":{\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#organization\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Magoha-wife.jpg\",\"articleSection\":[\"Kenya News\"],\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"CommentAction\",\"name\":\"Comment\",\"target\":[\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#respond\"]}]},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684\",\"url\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684\",\"name\":\"Magoha alitangazia wenzake tutaoana baada ya kunijua kwa siku tatu pekee, asema Mjane - Horizon News\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#website\"},\"primaryImageOfPage\":{\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#primaryimage\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Magoha-wife.jpg\",\"datePublished\":\"2023-02-09T15:55:19+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684\"]}]},{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#primaryimage\",\"url\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Magoha-wife.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Magoha-wife.jpg\",\"width\":470,\"height\":235},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Home\",\"item\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Magoha alitangazia wenzake tutaoana baada ya kunijua kwa siku tatu pekee, asema Mjane\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#website\",\"url\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/\",\"name\":\"Horizon News\",\"description\":\"\",\"publisher\":{\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"en-US\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#organization\",\"name\":\"Horizon News\",\"url\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#\/schema\/logo\/image\/\",\"url\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/04\/WhatsApp-Image-2023-04-15-at-15.18.04.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/04\/WhatsApp-Image-2023-04-15-at-15.18.04.jpg\",\"width\":483,\"height\":483,\"caption\":\"Horizon News\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#\/schema\/logo\/image\/\"},\"sameAs\":[\"https:\/\/www.facebook.com\/horizonnewsglobal\"]},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#\/schema\/person\/0aaeb0e26ff89059b5ef81bcf454e3c4\",\"name\":\"Horizon News\",\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#\/schema\/person\/image\/\",\"url\":\"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/af3de1890d7bafb4d1ac800e2af2660a9e865de75a28be465963ab3744754490?s=96&d=mm&r=g\",\"contentUrl\":\"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/af3de1890d7bafb4d1ac800e2af2660a9e865de75a28be465963ab3744754490?s=96&d=mm&r=g\",\"caption\":\"Horizon News\"},\"url\":\"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?author=4\"}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Magoha alitangazia wenzake tutaoana baada ya kunijua kwa siku tatu pekee, asema Mjane - Horizon News","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Magoha alitangazia wenzake tutaoana baada ya kunijua kwa siku tatu pekee, asema Mjane - Horizon News","og_description":"Na Iptisam Abdallah Ibaada ya wafu ya aliyekuwa Waziri wa Elimu George Magoha imefanyika leo huku familia , marafiki na maafisa wa ngazi za juu serikalini wakihudhuria hafla hiyo. Ibaada ya wafu ya mwenda zake ilifanyiwa\u00a0 Kanisa Katoliki \u00a0la \u00a0Consolata jijini Nairobi. Magoha aliifariki dunia mnamo Januari 24, mwaka huu nyumbani kwake Nairobi\u00a0 akiwaacha nyuma [&hellip;]","og_url":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684","og_site_name":"Horizon News","article_publisher":"https:\/\/www.facebook.com\/horizonnewsglobal","article_published_time":"2023-02-09T15:55:19+00:00","og_image":[{"width":470,"height":235,"url":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Magoha-wife.jpg","type":"image\/jpeg"}],"author":"Horizon News","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"Horizon News","Est. reading time":"3 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684"},"author":{"name":"Horizon News","@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#\/schema\/person\/0aaeb0e26ff89059b5ef81bcf454e3c4"},"headline":"Magoha alitangazia wenzake tutaoana baada ya kunijua kwa siku tatu pekee, asema Mjane","datePublished":"2023-02-09T15:55:19+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684"},"wordCount":595,"commentCount":0,"publisher":{"@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#organization"},"image":{"@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Magoha-wife.jpg","articleSection":["Kenya News"],"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"CommentAction","name":"Comment","target":["https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#respond"]}]},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684","url":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684","name":"Magoha alitangazia wenzake tutaoana baada ya kunijua kwa siku tatu pekee, asema Mjane - Horizon News","isPartOf":{"@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#website"},"primaryImageOfPage":{"@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#primaryimage"},"image":{"@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Magoha-wife.jpg","datePublished":"2023-02-09T15:55:19+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#breadcrumb"},"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684"]}]},{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#primaryimage","url":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Magoha-wife.jpg","contentUrl":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Magoha-wife.jpg","width":470,"height":235},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?p=3684#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Home","item":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Magoha alitangazia wenzake tutaoana baada ya kunijua kwa siku tatu pekee, asema Mjane"}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#website","url":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/","name":"Horizon News","description":"","publisher":{"@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Organization","@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#organization","name":"Horizon News","url":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/04\/WhatsApp-Image-2023-04-15-at-15.18.04.jpg","contentUrl":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/wp-content\/uploads\/2023\/04\/WhatsApp-Image-2023-04-15-at-15.18.04.jpg","width":483,"height":483,"caption":"Horizon News"},"image":{"@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#\/schema\/logo\/image\/"},"sameAs":["https:\/\/www.facebook.com\/horizonnewsglobal"]},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#\/schema\/person\/0aaeb0e26ff89059b5ef81bcf454e3c4","name":"Horizon News","image":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/#\/schema\/person\/image\/","url":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/af3de1890d7bafb4d1ac800e2af2660a9e865de75a28be465963ab3744754490?s=96&d=mm&r=g","contentUrl":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/af3de1890d7bafb4d1ac800e2af2660a9e865de75a28be465963ab3744754490?s=96&d=mm&r=g","caption":"Horizon News"},"url":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/?author=4"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/3684","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=3684"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/3684\/revisions"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/3685"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=3684"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=3684"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/horizonnews.co.ke\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=3684"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}